Advertise With Tafuget - Tangaza bidhaa au ofa yoyote ya duka lako | Furniture and home products, sofa, bed, table and other products.

Advertise with us/ Tangaza nasi

Tafuget.com is the online platform which also deal with online advertisements. For normal advertisement we only post in tafuget website but for products and shops it is different, we now focus in furniture and home accessories although even other products can also be included.

Ads categories & prices

In order to make sure that your products and shop are known to many users, we came up with a number of ad places. Below are places where we post your advertisements + prices.

  • Through our website (tafuget.com) on the specified ads spaces - starting from 50,000 Tsh. per month.
    Note: Do not confuse with the normal price of posting your products (Business Account) which is 1500 Tsh. per month.
  • Through our facebook page & instagram account - 2500 Tsh. per week, 10,000 Tsh. per month.
  • Through our youtube chanel - 5000 Tsh. per week, 20,000 Tsh. per month. if you have a prepared video we can use it but if you dont then we create it for you.

Contact us through our email ads@tafuget.com or through mobile +255 752 844 733.

****** ******

Tafuget.com ni mfumo unaoshughulika na biashara pamoja na matangazo ya kimtandao. Kwa matangazo mengine tunarusha kwenye website yetu tu isipokua kwa bidhaa na maduka/biashara matangazo yao yako tofauti, kwa sasa tunatoa kipaumbele zaidi kwa bidhaa na maduka ya furniture pamoja na bidhaa za majumbani japo hata bidhaa zingine pia tunatangaza.

Sehemu za matangazo na bei zake:

Ili kuhakikisha kua bidhaa na duka lako linajulikana kwa watu wengi zaidi tumekuja na namna ya kitofauti ya kurusha matangazo yetu. zifuatazo ni njia + bei.

  • Kupitia tovuti yetu (tafuget.com) kwenye zile sehemu zilizotengwa kwa ajili ya matangazo tu - kuanzia 50,000 Tsh. kwa mwezi.
    Note: Hii iko tofauti na njia ya kwaida ya kurusha bidhaa yako kwenye mfumo wetu (Business Account) ambayo ni 1500 Tsh. kwa mwezi.
  • Kupitia ukurasa wetu wa facebook pamoja na akaunti yetu ya instagram - 2500 Tsh. kwa wiki, 10,000 Tsh. kwa mwezi.
  • Kupitia youtube chanel - 5000 Tsh. kwa wiki, 20,000 Tsh. kwa mwezi. tutarusha video yako uliyoandaa kwa ajili ya tangazo ila kama hautakua umeandaa basi tutakusaidia kutengeneza hiyo video bila malipo yoyo na kuirusha kwenye chaneli yetu.

Wasiliana nasi kwa ads@tafuget.com au tupigie kwa +255 752 844 733.

Social Media:


cheap advertisement, furniture product or other home product.
let your product be known to the world

Sign up for news & offers!

You may safely unsubscribe at any time