Learn how to buy with us || Tafuget Online Shopping

Instruction On How To Buy The Products at Tafuget/ Namna ya kununua bidhaa tafuget

It is very easy to buy with us, just follow the instruction below.

 1. Create account/login if you have account.
 2. Discover the product you wish to buy.
 3. Hover on the product or click it to view its details, then you can click on icon to checkout the product or you can just add all products you wish to buy in the cart by clicking on icon.
 4. If you have the products in your cart then click on icon on the top to go to your cart, in the cart click PROCEED TO CHECKOUT button to place your order.
 5. When you are in checkout page click PLACE ORDER to send us your order, then you can wait for a moment so that we can process your request.
 6. Our team will contact you for more details so please remember to insert you actual contacts.1. Create Account/Sign In

2. Discover Great Products

3. Set/Confirm Your Order

4. Receive Your Products


****** ******

Ni rahisi sana kununua bidhaa tafuget, fuata maelekezo yafuatayo hapo chini.

 1. Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako kama tayari unayo
 2. Perusi na uchague bidhaa uipendayo.
 3. Peleka mshale juu ya bidhaa au bofya kwenye hiyo bidhaa kuona taarifa kamili, hapo unaweza kubonyeza kwenye alama ili kwenda kwenye kurasa ya ununuzi au unaweza pia kuweka bidhaa zote uzipendazo kwenye kikapu cha manunuzi kwa kubonyeza alama .
 4. Kama tayari una bidhaa kwenye kapu la manunuzi basi bonyeza kwenye alama iliyopo juu kabisa kwenye menyu ili kwenda kwenye kurasa ya cart, ukiwa kwenye hiyo kurasa bonyeza batani iliyoandikwa PROCEED TO CHECKOUT ili kwenda kwenye kurasa ya kutuma oda yako.
 5. Ukiwa kwenye kurasa ya checkout hakiki taarifa zako kisha bonyeza batani imeandikwa PLACE ORDER ili kutuma oda yako, kisha utasubiri ili tuweze kukamilisha oda hiyo, tutawasiliana nawe kwa uhakiki zaidi.
 6. Tafadhali kumbuka kuweka taarifa sahihi za mawasiliano ili tuweze kukupata pindi tutakapo hitaji kuwasiliana nawe.
buy with us the best product in tanzania.

Sign up for news & offers!

You may safely unsubscribe at any time