Learn how to sell your product with us || Tafuget Online Shopping

Instructions On How To Sell Your Products at Tafuget/ Namna ya kuuza bidhaa yako tafuget

Tafuget.com is the online platform which also deal with online advertisements. By registering your product here we are connecting you with the customer. As soon as user place the order on your product we are contacting you in order to process that request.

Instruction:

It is easy to sell with us just follow the steps bellow.

  1. Create account/login if you have account. When creating account remember to check on business account not personal account.
  2. Go to My Account. After creating account you will be directed to My Account page if not then go to My Account through the menu above.
  3. There you can make your payment, then our team will send you the payment token so that you can unlock your account.
  4. In My Account page click on New Product in order to start posting your product. Then you can click on My Products to view all the posted products
  5. Then you are done. Now you can manage your business through your account. In case you need help please feel free to Contact Us1. Create Account

2. Activate Account

3. Manage Your Account


****** ******

Tafuget.com ni mfumo unaoshughulika na biashara pamoja na matangazo ya kimtandao. Kwa kusajili bidhaa yako hapa tunakuunganisha na wateja kwa urahisi. Pindi tu mteja anapoweka oda ya bidhaa tunakutaarifu haraka iwezekanavyo ili kukamilisha oda hiyo.

Maelekezo:

Ni rahisi sana kutangaza na kuuza nasi, tafadhali fuata maelekezo yafuatayo.

  1. Tengeneza akaunt au ingia kwenye akaunt yako kama tayari unayo. Unapotengeneza akaunt kumbuka kuchagua Business Account na siyo Personal Account.
  2. Nenda kwenye My Account. Unapomaliza kutengeneza akaunti utapelekwa moja kwa moja kwenye kurasa ya My Account au nenda kwenye akaunti yako kwa kutumia menyu zilizoko hapo juu kabisa.
  3. Ndani ya akaunt yako utafanya malipo, baada ya hapo timu yetu itakutumia namba ya malipo ili kukamilisha na kufungua akaunti yako.
  4. Katika kurasa ya akaunti yako bonyeza kwenye link ya New Product ili uweze kurusha bidhaa yako. Ukitaka kutazama bidhaa zote ulizorusha inigia kwenye link y My Products.
  5. Hadi hapo unakua umemaliza, sasa unaweza kufurahia huduma za tafuget. Endelea kurusha bidhaa zako na kutazama maendeleo ya biashara yako. Endapo utakwama au utahitaji msaada wowote tafadhali usisite kuwasiliana nasi
sell with us the best product in tanzania.

Sign up for news & offers!

You may safely unsubscribe at any time